ePaper

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • Biashara
    • Makala
  • Michezo
    • Burudani
  • Kolamu
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
    • Zabuni

  • ePaper

    • Mwananchi

Picha

Kamati ya Bunge yataka fedha za mikopo kwa vijana zitolewe

Jumanne, Aprili 11, 2023

Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeshauri Serikali kutoa fedha zote zinazopangwa kwa ajili ya mikopo kwa vijana baada ya kubaini katika kipindi cha miaka mitano ni asilimia 20 tu ya fedha ndizo zimetolewa.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Fatma Toufiq ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 5, 2023 wakati akiwasilisha maoni kuhusu bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu kwa mwaka 2023/2024.

Amesema kamati ilibaini kuwa katika kipindi cha miaka kuanzia mwaka 2015/2016 hadi 2020/2021 Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu ilitengewa Sh5 bilionii lakini katika kipindi hicho imepokea Sh1 bilioni sawa na asilimia 20 tu ya fedha zilizotengwa kwa kipindi husika.

Photo: 1/2   

Photo: 2/2   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

Habari kuu

  • Habari
  • Michezo
  • Kolamu
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
  • Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini

    Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...

    Kitaifa Okt 05
  • Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.

    Kitaifa Okt 04
  • Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya

    Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya

    Kitaifa Okt 04

All
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • Biashara
    • Makala
  • Michezo
    • Burudani
  • Kolamu
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
    • Zabuni
  • ePaper
  • Contact us
  • Web Mail
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwananchi © 2023

Decoration