Kamishna Jenerali wa Magereza, Jeremiah Katungu alivyoapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mkuu wa Jeshi la Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2024. Picha mbalimbali zikimuonyesha jinsi alivyokuwa akivalishwa cheo kipya na kula kiapo. Picha na Ikulu