Kamishna wa Jeshi la Polisi, Nsato Mssanzya akiwa kwenye gari huku akipunga mikono kuashiria kuwaaga viongozi na askari wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kuhitimisha utumishi katika jeshi hilo (kustaafu), iliyofanyika katika Uwanja wa Paredi uliopo Shule ya Polisi Moshi Tanzania, mkoani Kilimanjaro leo Machi 24, 2024. Picha na Dionis Nyato