Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ibrahim Sow (katikati) ambaye ni raia Avory Coast, zawadi mshindi wa kwanza wa mashindano ya kimataifa ya Quran Tukufu Afrika ya 24 yaliyofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam leo Machi 24, 2024.Picha na Ikulu