Picha Kongamano la Kilimo Jumanne, Oktoba 04, 2022 Mkurugenzi Mtendaji wa Agribusiness Solution, Gerald Sanga akiuliza swali katika kongamano la Sekta ya Kilimo.Picha na Sunday George Photo: 1/2 View caption Meneja Mahusiano wa Kilimo na na Biashara wa Benki ya NBC,Peter Mbezi akiuliza swali katika kongamano la Sekta ya Kilimo.Picha na Sunday George Photo: 2/2 View caption
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya