SIASA KANDO: Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu (katikai) akifurahia jambo na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama (kushoto) na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma juzi. Picha na Anthony Siame