Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Katoliki Mbeya, Profesa Romuald Haule (Kushoto) alipotembelea moja ya darasa la mihadhara (lecture theatre), wakati wa ufunguzi wa Chuo hicho leo Januari 16, 2024, mkoani Mbeya. Aliyekaa kulia kwa Majaliwa ni Mkuu wa Chuo hicho na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Gervas Nyaisonga. Picha na OWM