Picha za matukio mbalimbali ya shughuli ya kuagwa kwa mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ambapo mwili huo ulitolewa katika Hospitali ya Kulago na kupelekwa katika viwanja vya Karimjee. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliongoza Watanzania kutoa heshima za mwisho, jijini Dar es Salaam leo, Februari 13, 2024