Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Massoud Othman akiwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu (wa pili kushoto) wakati akiwasili makao makuu ya chama hicho kwa ajili ya kushiriki mkutano wa halmashauri kuu, jijini Dar es Salaam leo Februari 12, 2024. Picha na ACT