Matukio ya Soko la Mbuyuni lilivyoteketea kwa moto, wafanyabiashara wakipata hasara
Moto uliodumu kwa zaidi ya saa nne umeteketeza vibanda vya biashara katika soko la Mbuyuni, Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Moto huo ulianza saa 7 usiku wa kuamkia leo Ferbruari 6, 2024. Picha na Janeth Joseph
Photo: 1/5
Photo: 2/5
Mchuuzi wa matunda katika Soko la Mbuyuni lililopo Manispaa ya Moshi akiangalia bidhaa zake zilivyoteketezwa na moto, sokoni hapo. Picha na Dionis Nyato
Photo: 3/5
Wafanyabiasha waliounguliwa vibanda vya biashara katika Soko la mbuyuni Manispaa ya Moshi wakiondoa mabaki ya mabati huku vijana amboa ni wachuzi wa chuma chakavu wakichangamia fursa kuokota chuma chakavu. Picha na Dionis Nyato
Photo: 4/5
Greda la Manispaa ya Moshi likizawazisha udongo eneo la Soko la Mbuyuni lililoteketea kwa moto, leo. Picha na Dionis Nyato