Matukio ziara ya Rais Samia nchini Norway, akutana na Mfalme Harald V
Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mfalme Harald V wa Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo. Picha na Ikulu
Photo: 1/7
Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway baada ya kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, jana Februari 13, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 2/7
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania na Norway, uliofanyika Jijini Oslo, jana Februari 14, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 3/7
Rais Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania na Norway, uliofanyika jijini Oslo, jana.
Photo: 4/7
Rais Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, jana Februari 13, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 5/7
Rais Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, jana Februari 13, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 6/7
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kasri la Kifalme pamoja na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway Kwa ajili ya kushiriki dhifa ya kitaifa Jijini Oslo, jana. Picha na Ikulu