Mawakili wabishania rejista ya mahabusu kesi kina Mbowe
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wapili kushoto) akizungumza na wakili wake, John Malya katika kizimba cha Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga