Madiwani wa kata ya Mbuyuni, Samuel Msuya wa kwanza na Mudhihiry Shoo kata ya Sabasaba wakipitia makablasha wakati wa kikao cha kuwasilisha rasmi bajeti ya mwaka 2020/2021 katika mkutano maalumu wa bajeti la baraza la madiwani halmashauri ya Mmanispaa ya Morogoro. Picha na Juma Mtanda.