Mtukufu Aga Khan akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi na Waziri wa elimu Sayansi Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia vikundi vya ngomba baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.