Mkazi wa Kinondoni akipita katika Mtaa wa Kinazo wilayani humo uliokuwa umefurika maji leo Januari 11, 2024, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Mtaa huo umekuwa ukijaa maji mpaka yanaingia ndani ya nyumba za wakazi wa eneo hilo. Picha na Sunday George