Wabunge wakimwangaliwa Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe (aliyevaa suruali nyesi na kikoti cha njano) akitolewa bungeni baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kumtaka akabadilishe nguo alizovaa ikidaiwa zimebana mwili wake jambo ambalo si ruksa kuvaliwa bungeni, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi