Mwananchi Picha PICHA MECHI YA AZAM NA POLISI TANZANIA 1/3 2/3 3/3 PREV NEXT Mshambuliaji wa Azam,Obrey Chirwa (kushoto) akifanyiwa madhambi na wachezaji wa Polisi Tanzania,Iddy Mobby (chini kulia) na Jimmy Shoji katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.PICHA NA MICHAEL MATEMANGA Kipa wa Azam,Razak Abalora akijaribu kuzuiya mpira husiingie gorini kwake huku beki wa Polisi Tanzania,Iddy Mobby akijaribu kufunga katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.PICHA NA MICHAEL MATEMANGA Beki wa Azam,Bruce Kangwa (katikati) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Polisi Tanzania,Shaban Stambuli (kushoto) na Sixtus Sabilo katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.PICHA NA MICHAEL MATEMANGA