Picha Rais Samia aongoza kikao cha Mawaziri Jumatatu, Januari 23, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Januari 23, 2023. Photo: 1/2 View caption Photo: 2/2 View caption
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya