Picha Rais Samia asali sala ya Eid Mikocheni Jumatatu, Juni 17, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Mahakama Kuu kutoa uamuzi leo maombi ya Lissu Lissu amefungua shauri la maombi Mahakama Kuu akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi dhidi yake ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni uliotolewa...
Chadema wamkataa jaji kesi kugombea rasilimali Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Bodi ya Wadhamini wake waliosajiliwa, kimewasilisha maombi ya kumtaka Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi yake ya mgogoro wa mgawanyo wa...
Kesi ya mgawanyo wa rasilimali Chadema kunguruma leo Kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali inayokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kusikilizwa leo Alhamisi, Julai 10, 2025 Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.