Rais Samia awasili nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya Kitaifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya kitaifa nchini Indonesia, Januari 24, 2024. Picha na Ikulu