Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Ikulu Zanzibar), Jamal Kassim Ali (wa tatu kulia) akiwa na viongozi mbalimbali alipokuwa akikata utepe alipokuwa akifungua rasmi Barabara ya Mchangani hadi Dongongwe iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 4.30 ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo Januari 11, 2024. Picha na Ikulu Zanzibar