Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa umewasili Monduli, mkoani Arusha huku hali ya simanzi ikitawala kwa wananchi waliojitokeza barabarani wakati msafara ulikuwa na mwili huo ulipokuwa ukitoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro ukielekea nyumbani kwa Lowassa katika Kijiji cha Ngarash wilaya ya Monduli, Leo Februari 15, 2024. Picha na Said Khamis