Picha Tawa wafanya usafi kituo cha afya Kingolwira Jumapili, Desemba 22, 2024 Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania TAWA Mkoa wa Morogoro wakifanya usafi katika kituo cha afya Kingolwira kilichopo Manispaa ya Morogoro ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika. Picha Hamida Shariff Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Upatanishi Chadema ni muhimu kama uji na mgonjwa Katika uchaguzi wa Chadema ambao kwa mtu yeyote mwenye akili atakubaliana na mimi kuwa umeacha majeraha makubwa, Tundu Lissu alichaguliwa kuwa Mwenyekiti kuchukua nafasi ya Freeman Mbowe...
PRIME Lissu atoa mwelekeo mpya Chadema Katika hotuba yake, Lissu amegusia masuala mbalimbali ambayo uongozi wake utayasimamia ikiwamo kushusha madaraka na kuweka ukomo wa uongozi.
PRIME VIDEO: Huyu ndiye Tundu Lissu, mwenyekiti mpya wa Chadema Mbowe amekuwa wa kwanza kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.