Rais John Magufuli akizungumza na Balozi wa China nchini, Dk Lu Youqing (kulia) wakati wa ufunguzi wa rasmi wa Daraja la Nyerere, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida