Mbunge wa Jimbo la Nsimbo, Anna Lupembe (kushoto) amkimfariji mkwe wake, Alex Ndyamkana (katikati) ambaye ni mume wa mbunge wa viti maalum, Irene Ndyamkama wakati wa ibada ya kumuaga Irene iliyofanyika katika viwanja vya bunge jijini Dodoma, Aprili 27, 2022