Viongozi wa dini mkoani Arusha, wakiongoza matembezi ya amani katika jiji hilo leo Jumatatu, Desemba 9, 2024 kwa ajili ya kuombea amani, utulivu na upendo kwa wananchi wa mkoa huo na Taifa kwa ujumla, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika. Na Mpigapicha Wetu