Picha Viongozi 'wamiminika' kumuaga Dk Ndugulile Dar Jumatatu, Desemba 02, 2024 Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiwa katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam kuhudhuria misa maalumu ya kumuaga aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika Dk Faustine Ndugulile. Photo: 1/5 View caption Photo: 2/5 View caption Photo: 3/5 View caption Photo: 4/5 View caption Photo: 5/5 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Lissu atoa mwelekeo mpya Chadema Katika hotuba yake, Lissu amegusia masuala mbalimbali ambayo uongozi wake utayasimamia ikiwamo kushusha madaraka na kuweka ukomo wa uongozi.
PRIME VIDEO: Huyu ndiye Tundu Lissu, mwenyekiti mpya wa Chadema Mbowe amekuwa wa kwanza kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.
PRIME Mbowe akubali kushindwa Chadema, ampongeza Lissu Uamuzi huo wa wajumbe, unahitimisha safari ya miaka 21 ya uenyekiti wa Mbowe aliyepokea wadhifa huo kutoka kwa Bob Makani tangu mwaka 2003.