Baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu ambao majina yao yalienguliwa na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakiwa wanasubiri majibu ya rufaa zao katika ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo.