Wakati Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ikikanusha taarifa za uwepo wa ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria kwa kile ilichodai ni zoezi la utayari, wakazi wa mkoa wa Mwanza wamesema mazoezi hayo yamewaachia mshtuko wakidhani ni ajali halisi kumbe sio.