Ziara za Zitto mkoani Tabora, afanya mkutano wa hadhara
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea na ziara jana Agosti 6, 2024 na kufanya mkutano wa hadhara katika Mtaa wa Mwamnange Jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora. Picha na ACT