Rehema Matowo

Mwandishi wa habari gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL). Mkoa wa Geita.

Connect with Rehema Matowo:

Mwandishi wa habari gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL). Mkoa wa Geita.

Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 13 katika fani ya uandishi wa habari na amebobea katika uandishi wa habari za jamii ,Watoto na afya.

Amewahi kushinda tuzo za za habari za Watoto zinazotolewa na jukwaa la wahariri (TEF) kwa kushirikiana na UNICEF mwaka 2018/19 , pamoja na Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) tuzo ya hedhi salama mwaka 2020.

[email protected]

Facebook: Matowo Rehema Meena

Instagram: Rehemamatowo2

Twitter :Regoma3