Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Januari 10, 2022 anawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua mwishoni mwa wiki.