Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibari, wilaya ya Mkoani, Kusini Pemba leo tarehe 07 Januari, 2022.