Mwananchi Video No video available. Diwani aliyepotea akutwa nyumbani kwa Ashura Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema polisi imefanikiwa kumpata diwani wa Kawe (CCM), Mutta Rwakatare aliyekuwa akitafutwa na ndugu zake kuanzia Februari mwaka huu.