Spika wa Bunge, Tulia Ackson amesema anasubiri uamuzi wa mahakama kuhusu wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).