Profesa Pius Mbawala afariki dunia Muhimbili Akizungumza na Mwananchi leo, Juni 24, 2026, mtoto wa marehemu, Priscila Mbawala, amesema baba yake alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu kabla ya umauti kumkuta.
Msanifu majengo kortini akidaiwa kujipatia Sh788 milioni Mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali, Salome Martin mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Romuli Mbuya.