CCM yaomboleza kifo kada wa Chadema, yatoa agizo kwa Polisi
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa pole kwa Chadema kutokana na kifo cha mjumbe wa sekretarieti, Ali Kibao huku kikilitaka Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake katika uchunguzi wa tukio hilo.