Mbunge Jimbo la Momba, Kondesta Sichwale ameishauri Serikali kuona namna ya kuzifanyia uchunguzi pombe za kienyeji hususani pombe ya gongo ili waweze kuihalalisha kwa sababu zimekuwa zikiwasaidia watu wengi kujikwamua kiuchumi.