Wanne mbaroni tuhuma za mauaji raia wa China Mfanyabiashara huyo aliuawa na walinzi wa kiwanda hicho usiku wa kuamkia Mei 16, 2026.