Naibu Waziri akwama kwenye tope ubovu wa barabara, ashindwa kuhudhuria mkutano
Mwananchi limeshuhudia magari yakipata shida kupita katika baadhi ya maeneo na yalishindwa kuendelea na safari kutokana na barabara kujaa matope huku mengine yakinasa, likiwemo gari la Jeshi la...