Mwinyi atangaza Juni 17 siku ya mapumziko Zanzibar Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano Juni 17, 2026 kuwa ya mapumziko ili kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu 1448 Hijiria.
Marekani, Iran zakubaliana kusitisha mapigano, Hormuz kufunguliwa Makubaliano hayo yanatarajiwa kutiwa saini rasmi Ijumaa nchini Switzerland.