Miaka 16 ya mchakato wa maandalizi ya Bima ya Afya kwa Wote (UHC) huenda ukahitimishwa katika Bunge litakaloanza mwishoni mwa mwezi ujao Wizara ya Afya itakaposoma muswada wake kwa mara ya pili.