Alipwa mapunjo ya nauli ya Sh500,000 aliyosotea kwa miaka 31
Askari mstaafu wa Jeshi la magereza, Christina Mjema (90) amepatiwa malipo yake ya nauli ya mizigo Sh500,000 ya kutoka gereza la Babati mkoani Manyara hadi nyumbani kwao Wilaya ya Same mkoani...