Wabunge wa Tanzania wameishauri Serikali kuweka ruzuku na kuondoa tozo katika mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini ili kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta nchini