Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

247 results for William Shao :

  1. PRIME Uhasama wa Marekani, Iran katika mwanga mpya

    Sasa dunia imeanza sura mpya kabisa katika uhusiano kati ya Marekani na Iran uhusiano ambao unaweza kuwa bora zaidi au mbaya zaidi kabisa.

  2. PRIME Utata wa mazishi ya viongozi wanaofia uhamishoni

    Katika historia ya Afrika, vifo vya viongozi wakuu vinavyotokea wakiwa nje za nchi zao vimekuwa chanzo cha mzozo wa kisiasa, mashauri ya kisheria na mijadala mikubwa ya kitaifa.

  3. Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran, Dunia yatoa kauli

    Rais Donald Trump wa Marekani, katika hotuba yake aliyotoa usiku wa kuamkia leo Jumapili, Juni 22, 2025, amesema mashambulizi ya Marekani yamefuta kabisa miundombinu ya nyuklia ya Iran iliyopo...

  4. Israel italazimika kufanya haya, kulipua  Fordow 

    Pinkas amesema lengo kuu la mashambulizi ya Israel ni kulipua kituo cha Fordow ambacho ni kikubwa cha kurutubisha urani kilichopo chini ya ardhi kusini mwa Tehran.

  5. Huu hapa wasifu wa marehemu Cleopa Msuya

    Tanzania imepoteza mmoja wa nguzo muhimu za historia yake, Cleopa Msuya, aliyewahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu wa Tanzania mara mbili.

  6. PRIME Mashambulizi dhidi ya viongozi na hisia za hasira za wananchi

    Hotuba yake ilikuwa ikienda vizuri mpaka kiatu kilipopita kwa kasi kuelekea usoni mwake.

  7. PRIME Mwanzo, mwisho wa Papa Francis

    Alipochaguliwa kuwa Papa Jumatano Machi 13, 2013 akiwa na umri wa miaka 76, Papa Francis alikuwa na afya njema.

  8. Nini hatma ya masharti magumu ya Rais Putin kwa Ukraine

    Ukraine inatarajia kuwa shinikizo la kimataifa, hususan kutoka Marekani na NATO, litailazimisha Russia kufikia makubaliano ya kweli.

  9. PRIME Huyu ndiye Profesa Sarungi usiyemjua

    Katika historia ya Tanzania, jina la Profesa Philemoni Sarungi (89) ni miongoni mwa majina ya Watanzania wachache waliokuwa viongozi na wataalamu waliotoa mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa.

  10. PRIME Mwisho wa M23 hauonekani DRC-5

    Wakuu hao walikubaliana kuanzisha jeshi hilo na kutoa wito wa kusimamishwa mapigano, ikiwemo kuondoa uhasama.

Page 1 of 25

Next