PRIME Simba yaanza na mashine 6 Mabosi wa klabu ya Simba katikati ya wiki walitana pamoja na kujadili mambo mbalimbali ya klabu hiyo ikiwamo kupitia ripoti ya kocha Fadlu Davids kwa ajili ya mipango ya kusuka kikosi kipya cha...
Ripoti: Wanawake wanaolea watoto peke yao wanakabiliwa na umasikini Ripoti mpya ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuhusu mwelekeo wa jinsia katika ajira, imebainisha kuwa wanawake waliotalikiana, walioachika au wajane wanakumbwa na changamoto kubwa za kiuchumi...
Mastaa Twiga Stars waitisha Guinea Ikweta Wakati zikibaki siku nne kabla ya mechi ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Wafcon) 2026 dhidi ya Guinea Ikweta, nyota wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania 'Twiga...
Nyota wa nje walivyopamba kikosi Twiga Stars Nyota 11 wanaocheza soka la kulipwa nje ya Tanzania, wameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' kitakachoingia kambini Februari 9, 2025 kujiandaa na mechi dhidi ya Guinea...
Mmiliki Alliance alivyoacha alama Mmiliki wa timu za Alliance FC na Alliance Girls za Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili (Januari 26, 2025) wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya...
Mmiliki Alliance afariki dunia, kuzikwa Februari 2 Mmiliki wa timu za Alliance FC na Alliance Girls za Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili (Januari 26, 2025) wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya...
Ulinzi umegeuka nguzo muhimu Simba, Yanga Uimara wa safu za ulinzi ulioonyeshwa na Simba na Yanga katika mechi za mwanzo za msimu unaashiria ushindani mkubwa ambao utakuwepo baina ya timu hizo mbili katika mashindano mbalimbali ambayo...
Hili hapa chimbuko la jina Chaz Baba Chaz ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwananchi kwenye tamasha la Faraja ya Tasnia baada ya kuulizwa swali kuwa ni msanii gani aliyemgusa na kuweka wazi kuwa ni marehemu Banza Stone
Kipengele cha Mchezaji Bora chateka tuzo za TFF leo Shirikisho la Soka Tanzania leo linatarajiwa kutoa tuzo za wachezaji waliofanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara, Ligi Kuu ya Wanawake pamoja na Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu uliopita wa...
Soka litakavyoiteka Tanzania Agosti Spoti Mikiki inakuletea matukio ambayo yataufanya mwezi Agosti uwe na mijadala ya kisoka kuanzia mwanzo wake hadi utakapomalizika.