Search

1002 results for Bakari Kiango :

  1. Aliyekuwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ya kutangaza kifo chake iliyotolewa na familia ya Mkulo, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam

  2. Kimbunga Hidaya: Usafiri majini na angani waendelea kama kawaida

    Kutokana na hali hiyo, mamlaka hiyo imeshauri wa mikoa husika na wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali baharini, kuchukua tahadhari na kufuatilia taarifa za TMA.

  3. PRIME Ujenzi holela watajwa chanzo nyumba kuanguka

    “Ardhi katika eneo hili si rafiki, kuna nyumba hapa imeanguka jana bila mvua kunyesha kutokana na maporomoko ya udongo, hali hii inatishia nyumba zingine zilizopo katika maeneo haya kutokuwa...

  4. Rais Samia: Tanzania itaisaidia Somalia kuimarisha ulinzi

    Hii ni ziara ya kwanza ya Rais wa Somalia nchini tangu ashike madaraka. Jana Ijumaa Aprili 26, 2024 alihudhuria maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, sherehe...

  5. ACT-Wazalendo kuunguruma K’njaro, Mwigamba akumbushia mapito ya kukisajili

    Mkutano wa kidemokrasia ambao upo kikatiba katika chama hicho utakuwa wa sita tangu kuanzishwa kwa ACT-Wazalendo mwaka 2014. Kwa sasa ACT-Wazalendo imefikisha miaka 10 na mkutano huo utakuwa...

  6. Rais Samia asisitiza kutekeleza 4R katika Muungano

    Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika katika Uwanja wa Uhuru wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam

  7. PRIME Vigogo 13 Chadema kikaangoni uchaguzi wa kanda

    Uchaguzi huo utakwenda sambamba na kuwapata makamu wenyeviti wa kanda hizo, wahazini, wenyeviti wa mabaraza ya Chadema katika ngazi ya mikoa yakiwamo ya Bazecha, Bawacha na Bavicha

  8. Dk Nchimbi apokea kero Nyasa

    Wakazi wa Nyasa wamemuomba Dk Nchimbi kuwasaidia ujenzi wa barabara kutoka Lituhi hadi Mbambay Bay na kituo cha afya wakisema Kata ya Mbaha kuna zanahati mbili pekee

  9. Dk Nchimbi aibeba falsafa ya maridhiano ya Rais Samia

    Asisitiza umuhimu wa kuepuka uchochezi na kusisitiza umoja wa kitaifa.

  10. Dk Nchimbi awaonya wanaCCM udalali kwa wasaka uongozi

    Dk Nchimbi amewataka WanaCCM kujenga umoja ndani ya chama hicho kwa nguvu zao zote na kueleza mambo mazuri yanayotekelezwa na Serikali.

Page 1 of 101

Next