Kilio cha wajane kuelekea siku yao, Serikali kuja na mwongozo
Takwimu za kidunia zinaonesha kuwa idadi ya wajane ni takriban milioni 258 kati ya hao, wajane 115 milioni wanadhulumiwa, wanafanyiwa ukatili, wanakabiliwa na umaskini na kutengwa na jamii.