Rais Samia: Sokoine alikuwa mtulivu kwa mamlaka za uteuzi
Edward Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Tanzania. Alikuwa Waziri Mkuu mara mbili, tangu Februari 13, 1977 hadi Novemba 7, 1980 na mara ya pili kuanzia Februari 24, 1983 hadi Aprili 12...