Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

193 results for Johnson James :

  1. Mama Karume aeleza changamoto za wanawake katika uongozi Zanzibar

    Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatuma Karume, amesema safari ya mwanamke katika kufikia malengo yake imejaa changamoto nyingi, milima na mabonde, lakini wanawake hawapaswi kukata tamaa.

  2. Man United, Spurs zatanguliza mgumu mmoja fainali

    Manchester United na Tottenham zimeonyesha matumaini ya kwenda katika hatua ya fainali ya Kombe la Europa baada ya kupata matokeo mazuri kwenye michezo yao ya kwanza ya nusu fainali iliyochezwa...

  3. Kabla ya kuwa mastaa walifanya kazi hizi

    Maisha yana changamoto zake, na siyo kila tajiri au mtu maarufu alizaliwa katika mazingira hayo.

  4. Home Alone inavyoondoka na kijiji kila mwaka

    Moja ya filamu ambayo katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huchuka nafasi kubwa katika maisha ya watu ni ‘Home Alone’

  5. Dk Nchimbi aitaka CCM Mkuranga kumwondoa mgombea uenyekiti aliyepigiwa kura ya ‘Hapana’

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameagiza kuondolewa kwa jina la kada wa chama hicho aliyepigiwa kura nyingi za ‘Hapana’ kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini...

  6. Watoto wawili wadaiwa kujinyonga Tabora, sababu zatajwa

    Watoto wawili mkoani Tabora wanadaiwa kufa kwa kujinyonga katika matukio tofauti, akiwemo mwanafunzi wa darasa pili shule ya msingi Igunga anayedaiwa kukutwa amejinyonga juu ya mti wa mwembe...

  7. VIDEO: Mbuzi aliyechunwa, kuvishwa sanda azua taharuki Tabora

    Katika hali isiyo ya kawaida, wakazi wa Mtaa wa Bombamzinga, Kata ya Isevya, Manispaa ya Tabora, wamejikuta katika taharuki baada ya kugundua mbuzi aliyekuwa amechunwa ngozi, kuvishwa sanda na...

  8. Umeme wa nguzo wadaiwa kuua mtoto wa mwaka mmoja na nusu

    Mtoto wa mwaka mmoja na miezi minane aliyefahamika kwa jina la Martine Ndaro amefariki dunia baada ya kupigwa shoti na waya wa kushikikilia nguzo ya umeme jirani na nyumba yao.

  9. Mama mkwe adaiwa kuuawa akisuluhisha ndoa ya bintiye

    Tukio hilo lilitokea Desemba 5, 2024, wakati Aisha Ramadhan ‘Batuli’ mkewe na Juma alipokuwa akijiandaa kusafiri kuelekea mkoani Kigoma akidaiwa kukimbia ugomvi wake na mumewe huyo.

  10. Wanaofanya shughuli hifadhini watakiwa kuondolewa kabla ya oparesheni kuanza

    Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mohamed Mtulyakwaku, ameagiza wananchi wanaofanya shughuli za kilimo na ufugaji ndani ya maeneo ya hifadhi kuondoka mara moja, kabla ya oparesheni ya kuwaondoa kwa...

Page 1 of 20

Next